@MsFrancic Mcheki huyu 0714967687 kama kimepasuka tu na hakijavujia wino. Hakuna haja ya kubadilisha kioo. Anafix kioo hichohicho na kinarudi kuwa kipya itakusave cost nyingi sana
@bajabiri@OleGunnarSolksj Unafahamu kuwa kuna taratibu za mchezo? Na hiyo kanuni ya kuruhusu timu ngeni kufanya mazoezi wala siku moja kabla ya mchezo katika muda wa mchezo tarajiwa ni sehemu ya taratibu za mchezo? Je utaratibu wa mchezo ukivurugwa, kutakuwa na mchezo husika?
@Abbymexahnk Nadhani wakati wanatoa gawio, wanaangalia balance iliyopo..ingekuwa wanaangalia transactions, wengi wangepata si chini ya 100k maana kuna watu wanafanya hadi transaction za 20M per month
@AyTanzania@Ailavoice Ameua sana, kama ni kurudi studio iwe wewe sasa upige verse moja matata halafu ikiwezekana mnatisha na Hanscana na kichupa kimoja kikaliii..inakuwa imeisha