Kwenye Maisha Hakuna kisasi wakosaji usiruhusu wakukosee au wakuangushe Maana Watamuomba Mungu Msamaha kwa kosa walilo kukosea mambo mengine tunamalizana hapa hapa kimwili na Rohoni anajua Jehova
Ukitafuta tafakari ya Maisha huwezi
kuipata kamwe yani inakupeleka kwenye jibu
"Dunia haina Maana"
Unazaliwa maskini, unajitafuta usiku na mchana
huku kichwa kikiuma pale unapokosa chochote kitu...lakini pia unainuka kidogo ile unaanza tu kufurahia matunda ya jasho lako unakufa
Kwenye kila Ndoto au Maono wapo Alpha na wapo Omega, Wale utakao Anza nao pia wale utakao maliza nao hakuna Maono ya pekeako Ndio maana Yana husisha watu so ukijua Hilo usiogope wataondoka kwenye mission yako pia pokea mengine kukamilisha Ukubwa wa Maono (Ndoto) yako.
Mapenzi bhana unakuta kuna demu ww una muadmire ni extent unasema uyu bhana simuwezi Afu kuna msela ambaye una mchukulia pouwa anakula Mama Afu command nyingi kuchizi za kifala ambazo Wewe unaona demu hastahili๐๐
Juzi kuna mshikaji wangu alikua amefanikiwa kidogo wamepishana na Mzee wake kwa hasira akamwambia Mzee wako Niambie gharama ulizotumia kunikuza nilipe๐๐.
Majibu ya Mzee:wakati mtoto ulinyonya maziwa ya Mke wangu ko nilete mke wako na Mimi ๐๐