SORO alipiga pale pale pembeni ya jicho ili kuendelea kumtoa Mwakinyo mchezoni na alifanikiwa, punch ya mwisho ilileta mau.ivu makali kiaisi HASSAN alilazimika kuinama kwa maumivu.
Better next time #Mwakinyo, #SORO was better than us today, tutarejea imara, wake up call kwako kuongeza Coaches wabunifu, all round kocha amekomaa piga TUMBO! TUMBO!๐
Wanaume wa kisasa wamepunguza kabisa kusikiliza nyimbo za Hip Hop ๐ฎ.
As a man you should jump to Hip Hop sounds at least once per day, inasaidia kupanuka kifikra.
Epuka hizi love & party sounds, ndizo zinakufanya ushindwe kuwekeza kwenye malengo yako na mipango ya kesho.
Unamjua Bin Laden -Usisahau mchizi?
Nah Reel - Ridh One
Duke - Incredible
Pfunk & Soggy Doggy - Mikasi
Mika Mwamba - Tamala
Aje -Alikiba by Nah reel
Dar es salaam stand up - Pancho