Kwenye upande wa siri siri we uko na nani? Obviously atakuwa Baghdad ���Nigga fuvk you bitch we na shoga yako” mstari wa Baghdad huo sijakutukana kaka.
Mulla kwenye battle la Baghdad na Fresh like unnh kaamua kuchagua upande waziwazi.
Anaweza chukulia poa ila anapunguza imani ya watu kwenye content zake.
@Mabulachriss Hapana, Mulla hataki hata comment tofauti na mawazo yake, mfano Sky alitoa mawazo tofauti akaja na walaka mrefu kufafanua baada ya kuambiwa Fresh diss ya mwanzo ilikuwa kali ila ya pili hajajibu alichofajya Baghdad, kuna vitu achia mashabiki baada ya kuchambua
Uchambuzi: Maana ya Line ya "Maua Sama Winter" ya Chaba009 kwenye MILIO!... https://t.co/pMpZGRMy1Z via @YouTube
Oi oi!! Uchambuzi yakinifu wa album ya #Chabba009 💥💥💥 jina ya album ni #UkurasaMpya toka kwa mchambuzi nguli #MasterManondo@FredrickMulla
@tommytraveler21@FredrickMulla Kabisa.
Mfano unakuta nimenotice a double entendre, yeye akichambua anakuonyesha kuwa ni a triple entendre.
Noma sana huyu jamaa.