Asee mna mabosi wakatili sana mimi boda boda wangu kuna muda anamaliza wiki mbili atanipanga tu bosa hali si nzuri namuelewa na huwa anakamilisha video safi kabisa pole asee
kujikimu tu ukitaka makubwa jiongeze kwenye mikopo na uwekeze no more kuna ndugu yangu anafanya kazi bank asee zile nguo zao zinaficha aibu nyingi sana na kubwa zaidi hakuna pesa inayo tosha leo ukilwa 5m matumizi yako nayo yatapanda vile vile na utaona ni ndogo.
Tena huyo ni La7 au kidato cha 4 huwa nashangaa sana mtu akisema askari hana pesa au anamaisha magumu kama jw wanasema wanamshahara mdogo vipi polisi na walimu au magereza watu wanahisi wafanyakazi wa bank ndiyo wana pesa 🤣🤣 anyway utumishi wa umma utakupa pesa ya...
@chris_mnzava@alfanii140@anuskills3 Mfano ukitoa simba yanga ni club gani nyingine ambayo haina uwanja inaweza kumuda ghalama za kuuendesha uwanja mfano huu wa Arusha..?
Public transport in Kigali, Rwanda 🇷🇼 is moving faster and smoother than ever, thanks to the introduction of bus lanes
Rwanda is showing how buses should operate in East Africa
Nimewasili nchini Uganda leo kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa ya siku mbili, kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni.
Nchi zetu zina uhusiano wa kidugu na kihistoria uliojengwa kwa miaka mingi. Ziara hii inalenga kuimarisha zaidi uhusiano huo na kufungua fursa mpya za ushirikiano, zitakazonufaisha wananchi wa nchi zetu kiuchumi na kuchagiza maendeleo ya mataifa yetu.
Nimewasili nchini Uganda leo kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa ya siku mbili, kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni.
Nchi zetu zina uhusiano wa kidugu na kihistoria uliojengwa kwa miaka mingi. Ziara hii inalenga kuimarisha zaidi uhusiano huo na kufungua fursa mpya za ushirikiano, zitakazonufaisha wananchi wa nchi zetu kiuchumi na kuchagiza maendeleo ya mataifa yetu.
Ugumu wa kweli maishani ni kushinda matamanio ya moyo wako juu ya unavyofikiria mwenyewe Mara nyingi chuki ni adui mbaya zaidi alie ndani yako Ikiwa utaweza kujifunza kujishinda mwenyewe utakua na wakati mzuri zaidi wa kushinda vizuizi vilivyo mbele yako #Mogadishu
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
https://t.co/bkonJGQnSh
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
@SuluhuSamia Historia itakumbuka viongozi waliochagua kujenga madaraja badala ya kuta za utengano. Mazungumzo, maridhiano na marekebisho ya Katiba ni hatua muhimu katika kuimarisha misingi ya Taifa letu. Hongera Rais Samia! #KaziNaUtu
Katika azma ya kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, pamoja na kujenga uelewa na uamuzi wa pamoja kuhusu masuala ya nchi yetu, leo nimekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tumekuwa na mazungumzo yenye tija kuhusu namna bora ya kusonga mbele katika mchakato wa Maridhiano na hatimaye Marekebisho ya Katiba, kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa letu.