Upendo wa kweli kwa Mungu huonekana katika namna unavyowatendea wengine. Huwezi kudai kumpenda Mungu, huku moyo wako ukiwa umejaa chuki, dharau na kuwadhuru watu. ๐
Bongo nyoso alikimbia dona tanasha si uongo,
usije huku unaweza chota majanga,
Nitumie email ukinikosa kwa namba na kama ni muhimu sana tujutane border Namanga.
Tumetoka mbali sana siku hizi kuna mpaka albino makondakta wa daladala enzi zile albino walikuwa wanaishi maisha ya kujificha sana๐๐๐พ
Kuna siku nilimuona albino muuza mbususu ndio nikagundua mauaji ya albino yamekwisha kabisa kwa enzi zile hiyo confidence asingeweza kuwa nayo walikuwa wanawindwa sana na kuuliwa kinyama๐ข๐๐๐๐พ
Sema Age ya miaka 20 mpaka 35 sio poa kwa kijana wa ki Tanzania, hapo utakutana na Poverty, Rejections na Depression.
Usipotuliza akili tuu unajikuta umeingia kwenye Ulevi, Bangi na mihadarati mingine na Umalaya. Ni kipindi ambacho kinakuitaji uwe karibu sana na Baba Muumba ๐
Unaweza kutaka pesa zaidi bila kujiona maskini. Unaweza kutaka mahusiano bora bila kuamini kwamba wewe hupendeki. Unaweza kutaka maisha makubwa bila kuyadharau maisha uliyonayo sasa. Unaweza.
Art Of Acceptance
Muda mwengine mambo yako hayaendi sababu wewe ni mtu wa matangazo, umeitwa interview ushatangaza, umepata nafasi fulani ushatangaza, umepata kazi ushatangaza yani huwezi kukaa na jambo. Unadhani kila mtu anafurahia mafanikio yako ?. Jitahidi kuwa msiri wa achievements zako.
Ee Mungu, linda familia zetu, fungua milango ya kheri, tuondolee huzuni na matatizo, na utujalie kuona siku zenye furaha kuliko tulizopitia. Tunakuomba ututangulie katika kila hatua ya maisha yetu. Amina.
Good Morning Friends