Henry Samueli, the 2025 IEEE Medal of Honor Laureate, is honored for his pioneering research and commercialization of broadband communication, and philanthropic support for STEM education.
Watch the video and learn more about Henry Samueli here: https://t.co/61XUfEyEQO
#IEEEAwards #IEEEMedalofHonor #IEEE
💨 Wateja wangu wanapokuja dukani kununua simu hasa za Samsung huwa wanakuwa na hofu jinsi ya kuhamisha data kutoka kwenye simu ya zamanj kwenda mpya.
Hufikiria kwenda kutumia siku nzima kuhamisha data zote kwenye simu.
Mimi huwasaidia kufanya jambo hilo ndani ya dakika...
#UZI
💨Watu wengi wamekuwa wakijiunga kwenye website nyingi kupitia google account zao wakidhani kwamba wakiifuta application na google account inakuwa imefutika.
Laah!
Swala ni kwamba ukifuta application google account inakuwa bado ipo kwenye hiyo website....
#UZI
💨Kwenye uzi wa jana watu waliomba namna ya kuondoa "unsubscribe" jumbe za promotion kutoka kwenye makampuni.
Makampuni mengi na software zimekuwa zikituma emails na kufanya sehemu ya inbox kwenye email kujaa.
Leo nimekuja na namna ya kuzuia emails usizozitaka ...
Kama Starlink ikifanikiwa kusajiliwa Tanzania kuna fursa nyingi zinaweza jitokeza. Hapa kuna baadhi ya fursa ambazo mjasiriamali anaweza kutumia:
1. Huduma za Wi-Fi kwa Umma: Mjasiriamali anaweza kuanzisha maeneo ya Wi-Fi hotspots katika maeneo yenye umati mkubwa kama sokoni, vituo vya mabasi, na maeneo ya biashara kwa kutumia huduma za Starlink, na kutoza ada ndogo kwa watumiaji.
2. Uuzaji na Ufungaji wa Vifaa vya Starlink: Fursa ya kuwa msambazaji wa vifaa vya Starlink, kama vile Hardware Kit, inaweza kutumika kuwahudumia wateja wanaohitaji vifaa hivi na kutoa huduma za ufungaji na matengenezo.
3. Huduma za Internet kwa Mashirika Madogo na Wajasiriamali: Kutumia huduma ya Starlink kutoa internet yenye kasi kwa ofisi za wajasiriamali na biashara ndogo zinazohitaji kuunganishwa kwa kasi ya juu ili kufanikisha biashara zao za kidigitali.
4. Huduma za Michezo ya Mtandaoni (E-sports): Kwa sababu Starlink inatoa kasi nzuri ya internet, mjasiriamali anaweza kuanzisha kituo cha michezo ya mtandaoni (e-sports) kwa vijana na mashindano ya gaming, ambayo yanategemea kasi nzuri ya intaneti.
5. Huduma za Elimu Mtandaoni: Starlink inaweza kutumiwa kusaidia katika upatikanaji wa elimu mtandaoni kwa wanafunzi na shule za vijijini ambazo awali hazikuweza kupata huduma nzuri ya intaneti. Mjasiriamali anaweza kuanzisha miradi au kituo cha kujifunza mtandaoni.
6. Huduma za Kufikia Mtandao Kwenye Maeneo Magumu Kufikiwa (Remote Areas): Mjasiriamali anaweza kutumia fursa hii kusambaza huduma za intaneti katika maeneo ya vijijini ambako ni vigumu kufikia kwa mitandao ya kawaida, hivyo kutoa suluhisho la kidigitali kwa wakulima na wafanyabiashara wa vijijini.
7. Kutoa Vifurushi vya Internet kwa Muda au Kwenye Maeneo Maalum: Kutoa huduma za intaneti za muda (kwa mfano, kwa matukio maalum kama mikutano, sherehe, au maonyesho) kwa gharama nafuu kwa kutumia teknolojia ya Starlink.
8. Kukodisha Hardware Kit kwa Watumiaji: Kukodisha vifaa vya Starlink kama ilivyoelezwa, kwa wale ambao wanahitaji huduma za intaneti kwa muda mfupi au hawana uwezo wa kununua moja kwa moja.
9. Kuanzisha Huduma za Biashara Mtandaoni na E-commerce: Kwa kuwa na upatikanaji wa intaneti yenye kasi, mjasiriamali anaweza kuanzisha duka la mtandaoni au biashara zinazotegemea majukwaa ya kidigitali, kama vile kuuza bidhaa kupitia e-commerce, masoko mtandaoni, na huduma za kutuma kwa wateja.
10. Kuanzisha Internet Cafe: Kwa maeneo ambayo hakuna huduma ya internet katika maeneo ambayo yapo mbani na kuna watu wanahitaji internet yenye kasi
11. Unawauzia Majirani zako Internet: Since vifaa vya Starlink unaweza unganisha mpaka vifaa 250. Hapo unaweza wauzia majirani zako internet kwa gharamamndogo.
12. Njia zingine ongezea kwa comment
Fursa hizi zinahitaji ubunifu, maarifa ya kidigitali na uwezo wa kujua mahitaji ya soko ili kujipambanua na kushindana na wengine. Fahamu zaidi jinsi ya kurahisisha mauzo yako hapa https://t.co/swriaMod4f
Kilio kimesikika.. It’s happening.. StarLink
Starlink ni kampuni ya Elon Musk. Inasambaza internet kama zilivyo kampuni za simu au zuku, TTCL na wengineo. Starlink inatumia satellite.
Wakitupa Rates Kama za Kenya bei inaweza kua Hivi:
▪️Hardware Kit (Mini) - 560,000 Tsh (Kidishi) - Unaweza connect device 128, na inashika umbali wa mita 112.
▪️Hardware Kit (Normal) - 936,000 Tsh (Kidishi) - Unaweza connect device 235, na inashika umbali wa mita 297.
▪️Pia wana option za kukodisha kile ki dish kwa 40,000 Tshs
▪️Unlimited kwa mwezi 135,000 (Nyumbani)
▪️Unlimited lite kwa mwezi 83,000 (Nyumbani one location)
▪️GB 50 kwa mwezi - 30,000
▪️Options zote zinakupa internet speed ya 50mbps mpaka 220mbps
▪️Unaweza lipia online au kwa mobile money
▪️Ukitaka kununua devices.. Wana distributors wao watatangazwa.
My Naija people, how you Dey?
I’m giving away 5 free flights tickets to our US and EU customers ONLY today 🇳🇬🔥
Happy Independence Day Nigeria. I know say Naija no dey carry last. Keep fighting the giant of Africa💪🏾
Habari za asubuhi mkuu?
Unakuwa ukijiuliza gharama za kutumia pesa kutoka Bank Moja kwenda Bank nyingine makato yake?
Kuna gharama kubwa au mambo yakoje?
Hapa nakuletea kwa ufupi gharama za kutumia pesa baina ya banks kwa Mujibu wa BOT