Mwanamke wa wakati ule aliepushwa sana na madhila ya hedhi kwani kulikuwa hakuna maisha ya kisasa. Pedi, dawa, vitambaa safi, sehem ya kujitunzia nk. Hivyo ili asigundilike na apate amani ya moyo bora asifanye kazi. Ili iwe serious ndio unaambiwa zitakauka.....
Kwa Tanzania, Tamaduni za Jamii nyingi hukataza Wasichana/Wanawake wakiwa katika Hedhi, kuchuma Mboga na Pilipili, kwa madai ya kukausha Mimea hiyo
Kisayansi haya ni madai yasiyokuwa na ukweli wowote
Soma https://t.co/nnh0WmBaW3
#JamiiCheck
Kwa Tanzania, Tamaduni za Jamii nyingi hukataza Wasichana/Wanawake wakiwa katika Hedhi, kuchuma Mboga na Pilipili, kwa madai ya kukausha Mimea hiyo
Kisayansi haya ni madai yasiyokuwa na ukweli wowote
Soma https://t.co/nnh0WmBaW3
#JamiiCheck
To our very own @jtfmahon, It has been an honor working side by side with UNFPA Tanzania under your leadership. Your commitment towards Youths development is remarkable. Asante Sana!
#AfriyanTz
The first University Awareness Tour. "My Country, My Natural Resources"
One of the Speaker at UDSM gave out his opinions on how it is important for some of the companies to have public social responsibility to the community so as to enhance our natural resources.
@nemc
Behind every statistic is a young girl living in fear of her life: a young girl who is fleeing from being mutilated: a young girl who fears rejection from her family & community if she does not undergo female genital mutilation. #ENDFGM2030#UKEKETAJIBASI2030#ICPD25#UNFPA50
Zahanati ya Nkwae tumetoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa akina mama na baba waliohudhuria klinic. Ukeketaji umekuwa ni mada kubwa kutokana na tafiti zinazobainisha kuwa 51.1% ya watoto chini ya mwaka na 31%ya wanawake miaka kati ya 15-49 wamekeketwa, (TDHS 2015/16) @FCSTZ