Katika Bwana nafsi zetu zinajisifu, tumeliadhimisha jina lake mteule,
Na jina lake Mungu wetu limetukuka. @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/NzifmnvlUg
Nimesubiri kwa muda sana hii Ibada ya mtumishi wa Mungu Ibrahim Mwasiposya
I love you brother
Divine worshiper
Mwanza Mwanza Mwanza @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/YtODWWz1WM
Adhabu sahihi kwa shetani wakati wa changamoto ni furaha. Shetani hanufaiki chochote ukishindwa ama kushinda. Nia yake ni kuvuruga furaha, amani na imani. Ukifurahi anapokuboa anajiona amefail sana yaani. https://t.co/FkPwbTGN8b
my bedroom kutakua na hii setup ukiachana na ile ZION MUSIC itakayo kuwa mbali kidogo na nyumbani ili kupata muda wa kukaa na familia @ Dar es Salaam https://t.co/1PwkVfmpDG