Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumwua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? @MagufuliJP SIKUOGOPI aslani