@SafariGateway_ Usichofahamu kuhusu hichi kisiwa, unaambiwa kuna mabata, makuku, na ndege wa kila aina. Kuna mayai mengi sana ambayo unaweza kuokota ukachemsha ukala mengi mno. Kuku na bata unachinja unakula wewe tu na tumbo lako. Sheria za huko huruhusiwi kuondoka hata na punje ya changarawe.
Kila kitu tunachokitumia leo kimebeba jasho la wanaume.
Barabara tunazopita, madaraja yanayounganisha miji, reli zinazobeba uchumi, nyumba tunazoishi, hospitali tunazotibiwa, nguzo za umeme zinazowasha miji na vijiji, hata taasisi za elimu zilizotufikisha hapa. Vyote hivi vilijengwa na kazi, muda, risks na kujitolea kwa mamilioni ya wanaume waliotutangulia na wa sasa.
Baba zetu walifanya kazi migodini, mashambani, viwandani, kwenye maeneo ya ujenzi na katika mazingira magumu ili kizazi kinachofuata kipate maisha bora zaidi. Wengi walijitoa bila kutarajia pongezi. Wengine walikufa wakiwa kazini. Wengine walibeba mizigo ya familia zao kimya kimya kwa miongo kadhaa. All these cannot be acts of selfishness.
Ndiyo maana wanawake mna deni kwa wanaume waliowatangulia, kaka zenu, baba zenu na wanaume wanaowazunguka kwa ujumla wanastahili heshima na kutambuliwa kwa sacrifices walizo-make. Na si kwa sababu wao pekee walijenga kila kitu. Wanawake pia walitoa mchango mkubwa katika kulea familia, kujenga jamii na kusukuma maendeleo, hilo halina ubishi. Lakini siku hizi mchango wa mwanaume umeanza kuonekana kama kitu cha kawaida kiasi kwamba hauonekani tena.
Tatizo la mjadala wa sasa ni kwamba mara nyingi mwanaume huangaliwa kama chombo cha kutoa. Kutoa fedha. Kutoa nguvu kazi. Kutoa ulinzi. Kutoa huduma. Kutoa matokeo, yaani dhana nzima ni extractive in nature. Anaposhindwa au kukataa kutoa, thamani yake huanza kuhojiwa.
Wanawake muanze kumuangalia mwanaume kama binadamu na siyo mgodi wa rasilimali unaopaswa kutoa kila wakati. Ana ndoto. Ana hofu. Ana maumivu. Ana uchovu. Ana mahitaji ya kuthaminiwa kama ilivyo kwa mtu mwingine yeyote.
Jamii inayotaka maendeleo haiwezi kuendelea kufurahia matunda ya kazi za wanaume huku ikipuuza utu wao. Heshima kwa mwanaume siyo zawadi, ni deni ambalo historia tayari imethibitisha.
@bonifacejoseph_ Bonge la nchi nyote mkija kutibiwa zenji si vitanda vya wagongwa vitakaa mpaka chooni. Fun facts wa bara wengi wana Zan Id, robo ya watu wa Zanzibar ni mijitu ya bara.
It wasn’t.
With rare exception, colonies were unprofitable, meaning more was spent building infrastructure like roads, railways, buildings, etc. than was exported.
And look at places like Singapore and Hong Kong. Both were colonies for a long time and yet they are extremely prosperous.
Leo nilikua natafuta document kwenye trunk. Nkikakutani na hii.
MashAllah mwanangu. 2007 ndio mwaka wako wa kwanza kufunga Ramadhan. U were 7. MashAllah.
@TVision93097 Chukua hawa wachache wa bara + na vipaji lukuki vya zenji, weka bajeti kabisa pale wizara ya michezo miaka hiii 3 halafu 2030 tunacheza kombe la dunia