Somali referee Omar Artan will receive his full pay as a World Cup referee despite the United States blocking his entry into the country. US officials , said he had an association with suspected members of terror organizations.
The US State Department on Tuesday strongly urged Americans to not travel to the Democratic Republic of Congo (DRC), South Sudan or Uganda amid mounting worries over a deadly Ebola outbreak
Serikali ya Keir Starmer inaendelea kupata misukosuko: Waziri wake wa afya Wes Streeting amejiuzulu leo Alhamis. Starmer anakabiliwa na shinikizo linalozidi kuongezeka la kumtaka aachie ngazi.
Venezuelan opposition leader Maria Corina Machado won the Nobel Peace Prize. She takes home $1.2 million and the Prize is due to be presented on December 10.
Today, on the #InternationalWomensDay, we celebrate our very own—women trailblazers shaping our industry across Africa and beyond. Their resilience, courage, passion and dedication keep the world alive, informed and inspired.
We see you, we honor you today and always.
#IWD2025
#uchaguziwaujerunani: Muda mchache baada ya vituo vya kupiga kura kufungwa, matokeo ya awali ya uchaguzi wa Ujerumani yanaonyesha kambi ya kihafidhina ya CDU/CSU imepata 29% ikifuatiwa na AfD yenye 19.5%. Chama cha SPD cha Kansela Scholz kimeanguka vibaya na 16%
Mwanaume mmoja raia wa Iraq aliyefanya matukio kadhaa ya kukichoma moto hadharani kitabu kitukufu kwa Waislamu, Quran, nchini Sweden amepigwa risasi na kuuawa karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Stockholm.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amesisitiza Jumatano kuwa wanajeshi wake wanapambana vikali kurejesha maeneo yaliotwaliwa na waasi wa kundi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda #DRCongo#goma
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wametoa wito kwa serikali ya Kongo kufanya mazungunzo ya moja kwa moja na waasi wa M23 ambao wameudhibiti mji wa Goma.