Kama unapitia mafunzo wanayotoa madogo kwenye page ya โUNI COLLEGE SHOWโ unakuja kugundua madogo wa sikuizi wanaakili kubwa sana kuliko walimu wetu wengi wa zamani.
Oya madogo wanatumia lugha na mifano miepesi sana mpaka unaelewa. Kuna mambo kibao zamani darasani sikuelewa hasa kwenye somo la Physics ila hawa madogo wa sasa wananifanya nielewe kirahisi sana.
Necta wanavyotangaza UFAULU umepanda tusiwabishie.
Nina Nyumba mbili, Nina Gari, nina kampuni, nina miradi.
Umeona tayari nina unafuu wa maisha, unataka nikuoe.
Wewe Huna kazi wala Biashara, mbaya zaidi Huna bikira.
Hivi huoni kuwa unanionea bure,
Kipindi mimi nipo busy kujitafuta, wewe ulikuwa busy kubadili mageto ya wahuni.