Siku hizi DATING Sucks For Men
Haki vile nakwambia...
Wengi Wamemua Kunyamazia Hili,
Ila Wacha Mimi Niongee Initoke.
Imagine.
1. Unatakiwa Uanze Kumfukuzia Manzi
2. Prove Yourself For Her
3. Utumie Pesa Zako
4. Upange Date Zote Wewe
5. Wewe Ndio Uwe Wa Kwanza Kumtext
6. Kusubiri Masaa 12 Ndio Ajibu Text Yako
Hapo Ndio Labda
Ufanikiwe Kumpata.
Na Zaidi Ya Yote
Utakuwa Unashindana Na
Zaidi Ya Wanaume 50 Ambao Wapo
Kwenye DM Yake,
Achilia Mbali, Nje Ya Social Media.
Na Yote Hayo Unayafanya
Just To Earn The
↳ Privilege Of Paying Her Bills.
Na Ukiangalia Kwa Makini
What She Bring Is
▻Her Body Count,
▻Madeni Yake Ya Vikoba
▻Matatizo yake ya Nyuma
▻Attitude
▻Ana Marafiki Wa Kiume Wa Kutosha
▻ Ex Zake Bado Wako DM
Na Bila Kusahau
Bado Ana Demand Zake
Ambazo Lazima Umtimizie.
Stay Guided Brother.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
29/10/2026. One year down tangu wanetu, washkaji, mama zetu na washua wetu watangulie mbele za haki dua zetu ziko nanyi huko mliko. Endeleeni kupumzika kwa amani🙏🏿
Daima tutawakumbuka.