"Ushauri wangu kwa vijana hasa mabinti ni kuchukua mafunzo haya ya ushiriki na ushirikishwaji kwenye ngazi za maamuzi kujenga uwezo wa kushiriki kikamilifu katika michakato ya maamuzi, kukuza ujuzi wa kujieleza, kufanya majadiliano, na kufanya kazi kwa ushirikiano . "
📍DAY 2 - UNGUJA - ZANZIBAR
AfriYAN Tanzania is conducting a Capacity Building Workshop for adolescent girls and youth in Unguja and Pemba on leadership and government in decision-making structures and processes at different levels of government.
#PamojaTuwawezesheWasichana
Vijana tunapaswa kuwa na Ufahamu wa Afya ya Uzazi ili tuweze kufanya Maamuzi sahihi kuhusu miili yetu na maisha yetu. Afya ya uzazi inajumuisha mambo kama vile :
✅Kujikinga na magonjwa ya zinaa,
✅kupanga uzazi
✅Kudumisha afya ya uzazi kwa ujumla.
#AfriyanTz#KijanPlus+
Kilele Cha Maadhimisho ya Wiki ya Vijana mwaka 2023 , Manyara - Babati.
Kila Kijana na Malengo ya Vijana yanafikiwa , hatuachi kijana nyuma ✅✅✅💪
@UNFPATanzania#WikiYaVijana2023#OktobaYaKibabe
Jana ilikua ni siku ya njia za uzazi wa mpango duniani, tunakumbushwa umuhimu wa kujua njia mbalimbali za kuzuia mimba na kuchagua njia inayofaa kwetu.
Hii ni muhimu kwa afya yetu na Ustawi wa familia zetu.
Karibu Mr. #HolgerTausch, new Head of Cooperation #Switzerland 🇨🇭🇹🇿
Switzerland is one of @UNFPA’s strongest vocal political partners & a reliable front runner of the #SRHR agenda ✅
Swiss 🇨🇭continued support & partnership with #UNFPA
..to support #Tanzania achieve #Agenda2030