@shaks_prince Hongera sana kaka ile gym ipo inapiga kazi fresh kabisa na kuna vifaa wadau waliongeza pale mimi nimetoka 2022 lakini bado chuma kipo kinapiga kazi respect kwakoโ
Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue๐คฃ
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store