Talib Ussi Hamad is Chair person of Journalists Association For Enveronment and agriculture Zanzibar which is a member of International Federation of Agri
Sheha wa shehia ya Piki Wilaya ya Wete Bi Asha Khamis akiwa na Makamu mwenyekiti wa chama cha ACT WAZALENDO Bara Is-haka Rashid Mchinjita marabalipoingia katika shehia yake kwa ajili ya ziara ya ujenzi wa chama
"INEC yenye wajumbe kama Omari Mapuri ambaye amewahi kuwa Mwenezi wa CCM inawezaje kutenda haki kwa watu wote? Sheria ya sasa ya Tume Huru ya Uchaguzi imeweka utaratibu kuwa angalau wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wapatikane kwa ushindani. Watu waombe na wafanyiwe usaili.
Changamoto kwa kipindi cha miezi miwili 1 February mpaka 17 march 2025 nilishiriki katika ufuatialiaji wa Uboreshaji wa Daftari la wapiga kura Zanzibar lakini siku ya mwanzo nilikamatwa nakuweka ndani eti kwa kupiga picha .
Pichani ni wakili Saleh na Khalfan Polisi wete
Alhamdulillah nimekamilisha kazi ya ufuatiliaji ya Uboreshaji wa Daftari la wapiga kura Zanzibar kwa vituo vyoote 407 kutoka tarehe 1 February mpaka Leo tarehe 17 march 2025. Unguja na Pemba.
Nimejifunza mengi kwa vyama pamoja na Tume ya Uchaguzi ZEC na vyombo vya Ulinzi
Mwenyekiti wa chama cha ACT WAZALENDO Taifa OTHMAN MASOUD OTHMAN akitoka katika eneo la Uwanja wa ndege wa Luanda, nchini Angola usiku wa Machi 13, 2025
Baada ya mazungΓΉmzo mazito yaliolenga siasa na haki nchini Tanzania Mwenyekiti wa chama Chadema Mh Tundu Lisu na Makamu Mwenyekiti Chama cha ACT WAZALENDO Zanzibar Ismail Jussa walioata picha ya pamoja
Wakati awamu ya pili ya uandikishaji daftari la wapiga kura Zanzibar ukifikia tamati leo hii kwa wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba baadhi ya wananchi wamekosa haki hiyo muhimu ya kikatiba kutokakana na kunyimwa vitambulisho vya Zan ID licha ya kulalamikia muda mrefu.