@BarakaMaviatu Dahhh noma sanaa mm nilikaa geto kama week sielewi nikaanza kukosaa msosi kabisa , mwanangu akanipa chimbo moja linaloitaji roho ngumu pale buguruni Baresa kubeba unga oyaaaa nilifanya week moja nusu nifee nikakimbia nikarudi kwenye ujenzii nikawa kinegaa ( wale wabeba zege)