#kinewsyWanazi
โ๏ธ Wanazi wanasema kuna timu inajiita UKAWA ambayo ni muunganiko wa wanazi wa
โซ๏ธ Dar Lux
โซ๏ธ Tungiโs
โซ๏ธ Travel Partner
โซ๏ธ Tanzanite
โ๏ธ Unaambiwa hawa wote hawana timu mpaka sasa, na walikuwa Wanazi waliokuwa wanampinga mwekezaji kutoka Shinyanga pale.
โ๏ธ Ila sasa kutokana na vichapo ambavyo amekuwa anavigawa Allyโs ๐ซ, unaambiwa alihakikisha anazimaliza chuma zote hizo kikatili kabisa.
โ๏ธ Na kweli baadhi ya kampuni zikatupa vitaulo na kupotea kabisa. Hali hii iliwafanya wanazi wa hizo chuma waendelee kuongeza chuki kwa mwekezaji wa pale Shinyanga na kutamani kummaliza kabisa.
โ๏ธ Sasa unaambiwa wakati huu wao ni yatima na hawana chuma za kunazia hali iliyowafanya waungane kwa pamoja ili kummaliza Mwekezaji wa pale Shinyanga.
โ๏ธ Wanazi wanasema sasa hivi Wanazi wote hao ndo wanazi wakuu wa #Katarama na ndo wanataka wahakikishe mwenye Shinyanga yake anatupa Kitaulo hadharani!
โ๏ธ Je! Haya yanayosemwa na wanazi yanaukweli wowote ule ama ni uzushi? Au baada ya vichapo vikali wanatafuta pa kutokea baada ya kuona maji yamezidi unga?
โ๏ธ Na, Je! Watafanikiwa kumuondoa Mwamba wa RockCity? Ama wao ndo watatupa kitaulo?
Good morning from Mtito Andei.
Our newest baby snow white there on her maiden trip to the coastal city of Mombasa.
Never miss a moment...conveniently book online at https://t.co/KG33AbERai or call 0730889000.