๐ Nembo Mpya Ya Otapp ๐
Nembo yetu mpya ni zaidi ya muundo tuโni ahadi ya uaminifu, kutegemewa na uvumbuzi katika tasnia ya teknolojia.
๐ต Curve Laini Inayoadhinisha urahisi
โช Herufi Nzito yenye kuonyesha uthabiti na kutegemewa
UMERAHISISHIWA!
Nunua tiketi ya basi na Otapp Bot kuelekea mikoa tofauti kama vile Arusha, Mwanza, Kigoma, Dar, Mbeya na mengineyo kiganjani mwako pitia mtandao wa Whatsapp.
Wasiliana na namba +255 673 334 455 kupata huduma.
Otapp: #tiketikiganjani.
JESHI LA POLISI LA TANZANIA NA UTEKAJI UNAOENDELEA.
Jumamosi tarehe 5/9 TLS waliandaa jukwaa la kuuliza "Wako wapi?". Hili jukwaa lilialika TAASISI mbali mbali wakiwemo jeshi la polisi Tanzania @tanpol
Muwakilishi wao alikuwa ni KAMANDA wa kanda maalumu J4 Mulilo. Na katika mahojiano aliyofanyiwa mbele ya mawakili wasomi yakiongozwa na mtangazaji ODEMBA, J4 alisema mambo mawili makubwa ya UONGO kuhusu SATIVA.
1. Jeshi la polisi ndio waliomuokoa SATIVA.
2. Mimi Sativa nilisema toka siku ya kwanza kuwa nilitekwa Na WASHKAJI.
๐จKuhusu kuokolewa nyie watanzania ni mashahidi, historia yangu ipo mitandaoni hasa youtube kupitia chombo cha habari cha JAMBO TV ambayo niliongea yote tarehe 7/8.
๐จNilisema lilisimama gari la Abiria ambalo ni Eicher. Walishuka dereva na kondakta, ambao walijaribu kupigia simu TANAPA waje kunisaidia ila kwakuwa tulikuwa kati kati ya msitu hapakuwa na Nertwork kbisa.
๐จlilikuja gari la Mkurugenzi ambalo lilikuwa linapita zake, wananchi wanalisimamisha akasimama, yule mkurugenzi aliishia kunihoji maswali huku akinirekodi video kisha akaondoka na kukataa kabisa kunipa msada kwenye gari lake. Wananchi wakaanza kumtukana "tunalipa kodi afu hautaki kumsidia mtanzania mwenzetu anakufa hapa".
๐จHivyo akaombwa Mtanzania mwengine aliekuwa na gari aina ya Pick up ambayo nilibebww nyuma kwenye uwazi ambalo ndio lilinipeleka moja kwa moja kituo cha polisi "KIBAONI" ambao waliniandikia PF3.
๐จBaada ya hapo nikapelekwa kituo cha Zahanati Kibaoni ambacho hapo mbali na kituo cha polisi. Kisha nikapewa Mabulance iliyonipeleka kituo cha wilaya ya Mpimbwe. Ambapo hapo ndio nilipatiwa matibabu ya AWALI.
๐จPesa za Hospitali ya Wilaya walilipa WATANZANIA, waliojichanga kutokea mtandao wa X. Risiti zipo rekodi zipo.
๐จMULILO anasema wao ndio waliniokoa. Swali, waliponiokoa walinipeleka wapi? Walinifanyia matibabu kituo gani cha Afya? Wamefikia wapi kwenye maelezo niliyowapa? Alipohojiwa na KIKEKE tarehe 13/8 alisema mimi sitoi USHIRIKIANO, juzi anasema walinihoji. Anataka ushirikiano upi?
๐ ๏ธhoja nyingine anasema mimi nilitekwa na WASHKAJI. Hili wote tumempuuza na ndiomaan alipoleta hii hoja mbele ya MAWAKILI WALIMZOMEA. Clip yangu niliyofanya na "Nipashe" tarehe 27/6 masaa kdhaa baada ya kutoka kupatikana, nikiwa na maumivu makali sana.
๐จNilisema wazi nilitekwa nikapelekwa kituo cha poisi O'bey. Na kisha Asubuhi ya jumatatu nikaja kuchukuliwa na WASHAKAJI niliokuwa nao kwa siku zote 4.
๐จSWALI 1. hao washkaji mmefikia wapi kuwakamata. Neno washkaji lisitake kutumika kama kichaka. Mimi ni BORN town hayo majina ya washkaji ni majina yetu kuitana vijana kama nyie mnavyoitana Makamanda afu mnatabia za Kike.
๐จ 2. Mimi namiliki kundi la Washkaji wanaoweza kumpeleka mtu akalala kituo cha polisi O'bey na asubuhi akaja kuchukuliwa na watu wakanizungusha zaidi ya KM 1000 huku gari ikiwa haina plate number ya usajili wa Tanzania na ikiwa inakimbia zaidi ya Speed 120-140 huku isisimamishwe kituo chochote cha Chek point?
Haya yote JESHI LA POLISI wanafanya kumkingia kifua "KILLING MACHINE" niliemtaja kwa muda sasa Ambae ndie ZCO wa Dar bwana FAUSTINE MAFWELE. Huyu anaogopeka mpaka na IGP.
Huyu ni hagusiki hapo jeshi la polisi. Huyu ndie anamiliki genge la Watekaji na kuuwa watu. Huyu ndie anaeamuru hapa dar nani aishi nani afe leo. Kazi yake kubwa ni Kuuwa.
MULILO script ya juzi hakuishika vizuri ndiomaana alipohojiwa na Odemba aliishia KUTOA macho akihisi watamuogopa.
SATIVA17๐ซก
Mfalme wa TABORA na MPANDA Ni mmoja tu
AN CLASSIC.
Unaweza kujipatia ticket yako kupitia tovuti yao ya https://t.co/1lcxlAlTOk au lwa maelezo zaidi piga 0748 771 160
.
.
Powered by @otapptz