Utagundua kwamba Wakurugenzi wote wakubwa na wakongwe wa mabasi Tanzania, hakuna hata mmoja anamiliki hizi G7.
Beginners kwenye game pekee ndo wanaongoza kununua. Vipi tuwastue ama tuwaache?
@kirigitim ni Bora wakawekeze kweny logistics especially kweny Transit goods huku wanafany biashara kichaa Tuu, 🙌 KWELI hii Dunia nilikuw sijaona mengi yaani nchi Ina mikoa 30+ wewe unafanya Kazi mikoa 4+ na Una magari Zaidi ya 50 unalalamika, happy nation gari zinapiga route 10 region+
@kirigitim Kumbe unaweza KUWA na asset na mtaji wa kukufanya KUWA Tajiri na ukaishia KUWA MASKINI wa kutupa ndo Hawa new force ni mfano mzuri yaani hii nchi Ina mikoa 30+ LAKINI Wao akili zimeganda wamekomaa nyanda za juu kusini, sijawahi ona wachina wajinga Kama Hawa,akili imeganda 🧠🧠🙌
Ukiwa Mkurugenzi mpya wa mabasi halafu ukawa na utaratibu wa kunanunua Madereva wakongwe na wenye majina ukae ukijua tu kwamba, ipo siku watanunuliwa na wataondoka kwako.
Hii hali itamtesa sana mzee wa ma EBR. Ni suala la wakati.
Wakurugenzi wengi wa Mabasi wakichukua ruti ya Dar es salaam - Mwanza kitu cha kwanza wanafanya ni kwenda Ally's Star kununua Madereva wakongwe na baadhi ya wafanyakazi.
Kwa nafasi flani wanafanikiwa. Star yeye anaenda kuchukua vijana mayanki kabisa ambao hawafahamiki😀.
LEVELS
@kirigitim Lazm ufanye branding mzee unadhani Godfirst alivyo wachukua wale saivi ka trend ina msaidia ni sawa na Katarama alivyo mchukua Machage ila mwisho wa siku ni biashara na kila mtu anacheki maslai yake