Why Ule kwa mazoea??
Wakat unatafuta hela yako kwa tabu!
Hebu jispoil Leo ule tofauti kidogo,ushtue utumbo!
Menu yetu ya kishua kama hyo unajipatia kwa sh 23000 tu!
Umewahi kuonja huyu kuku???
Huyu bwana Anaitwa KUKU KIDEBE!
Kuku wa kukaanga halafu anawekewa hyo Pilipili yake ya Kidebe,Hii kitu ni Balaa,kwa wanaomjua Bwana kidebe wanaenjoy sana!
KINONDONI
Tunapatikana kituo cha studio
Barabara ya Pinda
Mtaa wa matitu
Nyuma ya TX MARKET
Tupo karibu La Pinda
Mtaa wa Matitu
POSTA
Tunapatikana Barabara ya Samora Avenue
Jengo la Salamander Tower
Maarufu kama Jengo la GSM
Tupo Ground Floor
Ndizi mzuzu zipo kwenye menu yetu
Unaeza agiza na pilau au biryan
Au zenyewe plain tu
Zipo branch yetu ya POSTA
Zipo branch yetu ya KINONDONI
KINONDONI
Tunapatikana kituo cha studio
Barabara ya Pinda
Mtaa wa matitu
Tunafanya delivery za visinia
Tunawaletea popote mlipo ndani ya Dar
Mkitaka kuja kula hapa nafasi zipo
POSTA
NA
KINONDONI
Namba za kupiga
KINONDONI BRANCH;
+255 742 202040
+255 787 591000
+255 773 400000
TOWN BRANCH;
+255 775 202040
+255 788 202040
Hebu leo kula kitu tofauti
Jaribu moja kati ya hivi ๐
Seafood pilau
Au
Seafood Biryan
Hivi vitu ni vitamu
POSTA
NA
KINONDONI
Namba za kupiga
KINONDONI BRANCH;
+255 742 202040
+255 787 591000
+255 773 400000
TOWN BRANCH;
+255 775 202040
+255 788 202040