Zaburi 17:5,8
[8]Unilinde kama mboni ya jicho,
Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako;
Keep me as the apple of the eye, hide me under the shadow of thy wings,
๐น๐ฟ๐ฎ๐ณ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiendelea na kazi wakati akiwa safarini kuelekea Mji wa New Delhi nchini India kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023. Mhe. Rais Samia alitumia usafiri wa Ndege ya Shirika la ATCL ambalo limeanza safari zake kutoka Tanzania mpaka India.
ย
๐ธ:IKULU
@monis8910@Team687@jacksonhinkle Leave civilian and the people you call innocent resident in Gaza, they all were celebrating the attacks against Israel I think they made a choice
@zittokabwe Ile ilikua siasa tu, sio ubaguzi, sababu ndani ya mioyo yao wote walikuwa wanajua kuwa Dr Salim ni mtanzania halisi, Ila tutumie propaganda kumtoa kwenye mtanange.
2 Wakorintho 11:13 Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
2 Wakorintho 11:14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.