@callmemugii Nilishangaa sana pale walipo ambiwa wasiuze bidhaa kariakoo kwa rejareja.
Ili niuma sana, weusi wenzetu wana tutesa sana na bei zao kuwa juu sana, wanataka faida za haraka haraka sana.
Mtu akianzisha biashara leo kesho awe tajiri sasa anaweka faida kubwa sanaa.
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
@baruan02@Almalik_Mokiiwa I started Forex 2018 mwaka 1 nyuma yako, mpaka now ha ha ๐๐๐คฃ๐ Forex huwa ina nichapa Makofi tuu.
Anyway labda sababu ilifika kipindi sikuwa nayo serious kihivyo after kuona Makofi ni mengi mnoooo.
Nitarudi tena kwenye game hakuna kukata tamaa