Muungwana akishika MPINI, havuti. Anaelewa POWER ya KWELI si kumtoa damu mwenzako bali POWER ni HEKIMA na KUJIZUIA (restraint).
Mtu yeyote, hususan MPUMBAVU anaweza kutoa damu.
Tunahitajia HEKIMA in the highest office not UBABE.
TGNP nasikia mmelipwa na Tigooo ili muwatetee kwa element za jinsia ya katuni.Nimemuambia mtonyaji anitumie muamala ili niwafyatue vizuri.Nchi hii wanawake wamefedheheshwa na kudhalilishwa kwa sababu ya misimamo yao ya siasa hamjawahi kukemea ila mnakuja kuitetea katuni.shame on
Baada ya kutoka kanisani Sabato ya leo nikawa napitia Biblia;nikakutana na maonyo makuu kuhusu kupindisha haki.Mahakimu na majaji wote wenye hofu ya MUNGU naomba mkasome.
Walawi 19:15,
Mithali 24:23-24,
Mithali 17:23,
Zaburi 82:2-3,
Yakobo 2:9.
Kuna tabia moja iko hapa Twitter -ambao sio nzuri ( kitaaluma tunaita plagiarism). Yaani mtu anachukua Tweet post yako kama ilivyo ana copy paste ana i tweet kama yake. Nimeona mara kadhaa watu wakifanya hivyo. Sio sahihi. Kama umependa Tweet, retweet au quote. Kuwa mstaarabu!
@darmpya_@MUNISHIFAUSTIN1@tgnptz@CatherineRuge@tgnptz Wanafurahia tiGO wanavyotoa taarifa za faragha za wateja. Kibonzo ni ujumbe wakilishi, wateja ni wanawake na wanaume. Walitaka achorwe nani kama si mojawapo ya jinsia kuwakilisha wateja?
Ghanaian small miners account for 1/3 of gold exports. Ghana introduced a gold export tax on them & promptly the small miners started smuggling their gold out. Leading to a rethink on the export tax & another lesson to Governments, that high taxes have economic consequences!
Teach Science not Superstition - another amazing medical science achievement - “The human papillomavirus, or HPV, vaccine is cutting cases of cervical cancer by nearly 90%”. https://t.co/jiCrgiXa0Z
@bajabiri Wananchi hawana choyo hawajawahi kugoma kwenda kwenye mkutano wa wazi wa Rais yeyote. Serikali iache vyama vya siasa navyo vikutane na wananchi kujenga hoja zao.
The school, despite its limitations in many ctries, is the main mechanism to equalize opportunity. For many, it is the only safe space for stimulation, socialization, and meaningful learning. That space has disappeared for too many, for too long: https://t.co/UMzt6yW8NF
#Africa
I have a baby boy. My 3rd son. Named him after FREEMAN. This is an honor of Freeman Aikaeli Mbowe. FREEMAN was born SEPTEMBER the same as my baby. It's a great honor to call my son the name 'FREE-MAN' and I have certainly fulfilled my promise to 'MWAMBA'. Live long FREEMAN.