TAPSA-KAM College Chapter | Stay tuned for updates on Events, Conferences, Workshops, | Representing Brightest Minds, Passionate Students from kam college🔥💪🏿
Tapsa Kam College extends warm wishes to you and your family for a season filled with moments of love, laughter, and goodwill.
Merry Christmas and happy new year!
Towards commemorating world's AIDS prevention day, TAMSA MUHAS has prepared a video challenge titled ''let the community lead'' SAMSON NGONYANI has prepared a video reflecting the theme of this year,
If @sam_md_29 deserves to be the winner like share and comment 🤗🤗
TIME:1900-2045 GMT+3
DATE:24th NOV 2023
PLATFORM:GOOGLE MEET
LINK:https://t.co/UwGY99DoI1
NB :ALL PARTICIPANTS WITH AT LEAST 40MINS OF PARTICIPATION WILL BE CERTIFIED📌📌
TAPS RISE, TAPSA SHINE
While ending a commemoration of th WORLD AMR AWARENESS WEEK(WAAW2023), TAPSA TANZANIA Presents an AMR ONLINE WEBINAR to provide full insights on the role of pharmacy students in community AMR Awareness and the Scope.
TIME:1900-2045 GMT+3
DATE:24th NOV 2023
PLATFORM:GOOGLE MEET
LINK:https://t.co/UwGY99DoI1
NB :ALL PARTICIPANTS WITH AT LEAST 40MINS OF PARTICIPATION WILL BE CERTIFIED📌📌
TAPS RISE, TAPSA SHINE
Wanafunzi kutoka kam college waliochaguliwa ktk kada ya Famasi wakionyesha heshima yao kwa taaluma. Wamekula kiapo cha uadilifu kuashiria ahadi yao kwa kuzingatia masomo, kujitolea kwa huduma bora za Afya. Hatua hii ni mwanzo wa safari yenye changamoto, mafanikio ktk maisha yao
Mgeni Rasmi, Rais wa PST, Rais wa TAPSA, na Mwenyekiti wa Tawi wakishirikiana na wanachama wawili, wameongozana kwenye tukio la kukata keki ya TAPSA-KAM. Hii ni ishara ya umoja na mshikamano katika kukuza malengo yetu ya kukuza na kuimarisha kada ya famasi.
Viva @tapsa_kam
Tumefanikiwa kuwa na uwepo wa muheshimiwa Rais wa PST, Fadhili Hezekiah akizungumza kwa hisia na Hotuba yake ikigusa moja kwa moja, kuhusu pharmacy profession na fursa zake pamoja na umuhimu wa kuzingatia professional ethics. #whitecoatceremony#professionalethics#kamcollege
Mwenyekiti wa TAPSA-KAM, Sumaiya idi zuberi, akiweka wazi umuhimu wa sherehe ya White Coat na kuelezea historia ya TAPSA-KAM.
Tukio hili linaweka wazi mwanzo wa jukumu la TAPSA-KAM katika kulea wanafunzi wa kada ya famasi katika misingi imara.
Sir Moses Mayunga, Mlezi wa TAPSA-KAM, akitoa hotuba yake kwenye sherehe ya White Coat Ceremony. Na kufungya rasmi sherehe, Kupitia ufunguzi wake, alitolea mwanga na maono na hekima zake kama mlezi, ambazo mwanafunzi wa kada ya famasi anatakiwa apitie.
Sir Moses Mayunga, Mlezi wa TAPSA-KAM, akitoa hotuba yake kwenye sherehe ya White Coat Ceremony. Na kufungya rasmi sherehe, Kupitia ufunguzi wake, alitolea mwanga na maono na hekima zake kama mlezi, ambazo mwanafunzi wa kada ya famasi anatakiwa apitie.
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wamejawa furaha na shauku walipowasili kwenye sherehe ya White Coat katika Chuo cha Kam College. Wamejiandikisha kwa matumaini na hamasa kubwa,wakitarajia kujipatia mwongozo mzuri katika kada waliyoichagua. Matarajio yetu ni makubwa kwao#VivaClass2026