@TMnyama4_ Dalili zinaonesha nikwelo umeathirika am very sorry kupoteza nguvu ya taifa ni vema kufanya ibada na kumrudia mungu wako kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili wako ukizingatia hayo utaishi kwa matumaini by the way unayo nafasi embu jaribu
@RemigiusJ @Exquisite_255 Haijajishikilia sehem Bali kutokana na gravitational force kati ya jua na Dunia inavozunguka ndo inabakia katika sehem yake sasa ukisema n flat unamaanisha Dunia haizunguki ila jua ndo linazunguka sio?