Watanzania ndo watu pekee wanafurahia anguko la mtu
Huo ni uchawi kama uchawi mwingine
@tassaa101 will come back stronger as before, goal ni kuhakikisha kila mtu anapata fursa
Still working to revive my old account
God bless you katika harakati zako
Sema Mna Roho Za Kikatili Sana Humu๐ฎSasa Mmeridhika Jamaa Kufungiwa Account Yake Sio๐ฎ Unaweza Mfungia Mtu Mlango Alafu Mungu Akamfungulia Dirishaโ