angrove Evaluation.
@mangroves_conservation_project we were happy to see the planted Mangroves grow well at Mdimni village -Mkuranga Region.
It was not easy,thanks to all stakeholders who supported us.
Lets do more conservation and restoration together.
World Mangroves day 2022.
Our Initiative together with other environmental lovers joint together and celebrate it in Mdimni village which is located at Mkuranga district.
#mangroveday#mangrove#mdimni
Ni Mwaka wa tatu MMCP tumekuwa tukishuhudia mabadiliko ya Tabianchi yanayotokana na kuongezeka kwa kina cha maji ya Bahari ambapo kumepelekea kuharibika kwa fukwe, Ardhi na kupotea kwa mimea na viumbe hai katika kijiji cha Mdimni, (W) Mkurangwa Mkoani Pwani
MMCP tunafuatilia kwa ukaribu namna #LossAndDamage inayosababishwa na mabadiliko ya Tabianchi ilivyoathiri Maisha ya wananchi katika kijiji cha Mdimni na kulazimisha wakazi waliokuwa wanategemea uvuvi na Kilimo kuhama eneo hilo kutokana na kuongezeka kwa kina cha maji baharini
MMCP ni mradi wa pamoja unaoundwa na taasisi zisizo za Kiserikali ambazo ni TCCI, Mazingira Plus, HUDEFO na ETE wenye lengo la kufanya ulejeshaji wa uoto wa asili (Mikoko) na kuwezesha wananchi kiuchumi kupitia uhifadhi wa mikoko na shughuli mbadala za uchumi kama ufugaji nyuki.
Tunawashukuru Wadau wetu wote ambao wanatupatia ushirikiano ikiwa ni pamoja na TFS, Ofisi ya DED/DC Mkuranga, Ofisi ya Kata,Serikali ya Kijiji - Mdimni, na Taasisi zote zilizowahi shiriki shughuli zetu za uhifadhi kwa miaka yote mitatu ya MMCP toka mwaka 2020
#ClimateActionNow
Ufafanuzi zaidi juu ya Miaka mitatu ya @MdimniP Picha ya 3&4 kutoka mwisho tulipiga 2020, picha ya 2 kutoka mwisho tulipiga mwaka 2021 , na picha ya kwanza tumepiga Desemba 2022 unaweza kuona namna eneo linavyo athiriwa na athali za Mabadiliko ya Tabianchi tuchukue Hatua sasa
Mabadiliko ya Tabianchi yanaathiri mfumo wa ikolojia,mimea, wanyama na hata maisha ya wanadamu
Climate change affects the health of ecosystems, influencing shifts in the distribution of plants, viruses, animals, and even human settlements.
#SDG13#Climatechange
📸 @fredynjeje
Mwaka 2023 nitajikita zaidi katika kuyasemea Mazingira kwa kutumia picha kwa kuwa hayana uwezo wa kujisemea. Pia nitaangalia zaidi Malengo endelevu namba 13,14,15 na 6
In 2023 I will concentrate on Environmental issues and SDG's 13,14,15,6 through photography
@CarolNdosi
📸 Karim
The reality facing communities as companies make more single-use plastics.
Images of Lake Kivu which Rwanda shares with DR Congo.
Its only outlet River Ruzizi is flowing with plastics as it is finds way into Lake Tanganyika.
📸Via: @lukubusi - in Bukavu
#EndPlasticPollution
Do something good to the environment.. the piece of litter you picked up meant one less piece of litter that could end up being waste.
#BeachAction#Sustainability#savetheplanet