Media Coverage for the ongoing Rules of Origin Workshop, Supported by GIZ Business Scouts
Funded by German Federal Ministry of Economic Cooperation and Development (BMZ)
Capacity Building Workshop On Rules of Origin and Export Procedures for SMEs in Manufacturing and Value Addition, currently on progress at Holiday Inn, Dar es alaam, Tanzania The workshop is Expected to raise Export awareness to participants from the Tanzania Business Community
Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) has booked an official appointment with the office of Commissioner General of Tanzania Revenue Authority (TRA) for matters partaining special tax regime ready for educating his members to become fit for Regional trade
Rais wa TCCIA, ndugu Paul Koyi, akiwa na Viongozi wa TCCIA, mapema hii leo, Jumatano, 6/10/2021, katika ofisi Ndogo za TCCIA Mjini Dodoma, Kuratibu Shughuli kadhaa za Kiutendaji, Jijini Hapo
Mapema hii leo, TCCIA imekagua Mipaka ya Eneo lake, lililopo mkabala na Mji wa Magufuli (Magufuli City) Ambapo panatarajiwa kujengwa Ofisi za Makao Makuu na Kituo cha Kisasa cha Kibiashara cha TCCIA, jijini Dodoma, (Modern Business Center) Chini ya Rais wa TCCIA, ndugu Paul Koyi
Rais wa TCCIA, ndugu Paul Koyi, na Viongozi wa TCCIA, wakiteta Jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai, mara baada ya kumtembelea Mapema hii leo, Nyumbani kwake, Mkoani Dodoma.
Baraza la Biashara, Mkoa wa Songwe likiendelea leo tarehe 1, October, 2021, kwaajili ya Kuwasilisha Matokeo ya utafiti wa Mradi wa Building Bridges wa Kuboresha Mazingira ya biashara, unaotekelezwa na TCCIA pamoja na TRIAS Tanzania kwa ufadhili wa Jumuiya ya Ulaya
Picha Mbalimbali, Zikionesha workshop ya E-COO Inayoendelea hivi sasa katika hotel ya Four Point by Sheraton (Zamani New Africa Hotel) kwa uwezeshaji na uratibu baina ya TMEA na TCCIA Ikijumuisha Wasafirishaji na Wazalishaji Wote(Manufacturers)
Mwenyekiti Wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya TCCIA Taifa, Ndugu Paul Koyi Afungua Rasmi Mkutano huo, unaoendelea katika hoteli ya Four point By Sheraton Jijini Dar es salaam