Your ambitions and dreams doesn’t come by chance, It is a combination of dedication, devotion, discipline and hard work.
YOU MAKE YOUR OWN DREAMS.
#teamhumanities
Daruso-cohu inapenda kuwakumbusha mambo muhimu kabla ya mitihani ya mwisho (UE)
1️⃣Kuwa na kitambulisho halali(valid ID)
2️⃣kuchagua (optional course) na kuzisajiri
3️⃣kuthibitisha(confirm) masomo yako Aris
4️⃣kutunza kumbukumbu za majaribio yako ili kuondoa usumbufu
#teamhumanities
As we celebrate the accomplishment of the college of humanities in a decade, we welcome you all to the third Seminar series.
SPEAKER: Prof. Bertram Mapunda ( First Principal of the College of Humanities)
Ndugu wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa chuo kikuu cha dar es salaam ndani ya ndaki kubwa na ndaki pendwa zaidi, sisi kama familia ya Ndaki ya insia tupo tayari kuwapokea na karibuni sana
#teamhumanities
Ni miaka 23 ya kifo cha mwalimu nyerere (baba wa taifa) hakika bado unaishi ndani ya mioyo ya watanzania na mchango wako hauwezi kufutika daima, endelea kulala mahala pema shujaa.
#teamhumanities@daruso-CoHu
NUKUU YA LEO
usiogope kujaribu kwa kigezo cha kukatishwa tamaa na watu walioshindwa
Tambua wewe ni wewe na wao ni wao kila mtu ana bahati yake na malengo yake
#teamhumanities
Tangazo muhimu
Ratiba ya (supp) na special examination imetoka rasmi hivyo ni muhimu kujua tarehe, siku, na darasa utakalofanyia mtihani
https://t.co/KmGsKuDhTr
Uongozi wa wanafunzi Daruso CoHu unawatakia maandalizi mema