now that la Captain limeshafanikiwa,hakuna chochote tunachoweza kufanya kwenye kurasa za Benfica wakamaliza suala la Msuva wazee?tuweke kambi nako kama namna gani.
Kuna jamaa wa gazeti fulani wanaotumiwa na watesi wangu, waliwahi kumuandama Waziri fulani wa Maliasili na Utalii huko siku za nyuma mpaka akawapa hela ndiyo wakaacha, wakaanza kumsifia. Mimi siyo mtu wa aina hiyo! #HK
Mwanaume ;
1-Haubeti
2-Hauzini
3-Bangi Huvuti
4-Sigara Huvuti
5-Pombe Hunywi
6-Ukipishana Na Mwanamke Mwenye Tako Kubwa Haugeuki
7-Mpira Hauangali
8-Hukai Na Washikaji
9-Hutoki Nyumban
Ndugu Yangu Si Bora Mvua Tu Zianze Kunyesha Upigwe Radi Ufe Tu.