πππ UFIPA mtakubali tu. Siasa ni akili na mipango
Sasa unafanya siasa na vipaza sauti vya kuuzia dawa za panya kama Heche ππ HUTOBOI yaani
Kwa wale wapenzi wa technology Leo #apple Wanatangaza bidhaa na huduma mpya kwenye event yao itayoanza saa 2 usiku saa za Africa Mashariki sawa na saa nne asubuhi kwa California.
Karibu tu angalie event hii live kwa pamoja
@MKBHD I see Android fans complaining how this was on Android for a long time, the problem is marketing of features, Google just doesn't know how to market it's features as Apple does.
Je unajua kuwa #iphone13promax ndio smartphone inayokaa na chaji zaidi kuliko smartphone zote za matumizi ya kawaida? @ Arusha, Tanzania https://t.co/BJ2FEHWiCl