Guys ni kama sikuwangi normal aky, ni niny hukuwa mbaya na nduthi? Yaani the moment nimekalia nduthi hivi nakuwa wet na naanza kufikiria sex😹.. is it common ama mimi ndio niko na shida? Juzi karibu niitie msee wa nduthi😭
There are things I have done with women that I wake up to hit my head against the wall everytime I remember them. Bwana this thing called love is very Umbwedede. Kuna wakati ati sasa tumeenda picnic nayeye. Dont judge me,it made alot of sense then when i was still a kafukuswi. Tumebeba mabisquit,yoghurt,tujuice na maji,tukaenda huko Thika. Kuna mahali mnakaa namna hii mnaona tu maji inamwagika kwa cliff, waterfall. Na pia tumebeba shuka tumekaa chini namna hii sasa tunaongelea the future tukiumishana crisps, ninaona kweli hapa ikienda chini hatuwes pata watoto chini ya tano. Saa hiyo ni end month mhindi amenitwanga my honest 17,500kenyattas.
I was in love,yani mpaka sasa tulikua tumediscuss na tukaamua firstborn tunaita yeye Q,ndio watu waniitange babacue,woi! Jamaa wa pickup Wakanigongea baada ya miezi tatu aki mungu wangu, hardware nilikua naekelea simiti sita kwa mabega napanda mpaka 7th floor. Bwana There is a reason jesus never had a female disciple,wangevunja yeye roho arudi binguni na miaka nineteen. Bwana i even suspect ruto is a woman
🚨41 Years Old Finished Grandpa Ronaldo vs Give Him the Ballon d'Or Messi Against Spain
Ronaldo will always be much better than Messi Against a Bigger Opponent
Yule anakosea vijana sana ni ule anawaambia waachane na wasichana,ati watafute pesa kwanza. That is a person who should be locked up in Shimo la tewa. You think life will wait for you to look for money and come back so that you can continue where you left off? Bwana there are things you must expirience when you are at that age to avoid dealing with them the hard way when your older. You must expirience love,betrayal,Honesty,Disrespect,Honor,Manipulation,Heartbreak,sacrifice,Pretence, and many more.
And do not beat yourself up now when you have nothing,remind yourself that if you will be worth loving tomorrow when you have something,then you are worth loving today. Na kama hujui kudanganyilia wasichana kama huna pesa,usidhani pesa itakuja na manual. You will be shocked to find that the only thing you’re doing then,is just affording to pay for high end hookers
Mimi kama nilifanikiwa kutoa mhindi loresho,nikamleta kangemi kwa nyumba ya mabati tunatumia stove,wewe uko juja huwesi shindwa kutafuta mjuja mwenzako. Ni muhimu upendwe ukiwa maskini,uskie vile inakuanga. Otherwise you will be one of these middle class men who send girlfriend allowance,ati na ukikosa anakasirika. Mtu anakuambia ati utafute pesa kwanza,hiyo ni mtu blarfakin kapsaa.
Will they teach you this in unifasti? I dont think so.
Khabusie!
Lakini Mwanaume ukijaribu kujilinganisha na Mwanadada utaumia sana aisee. Women are like cockroaches. They are the real makmendes. Premium Survivors. Against all odds,they always manage to prevail and even live longer than most men. Mimi nimejionea na hii macho yangu,date 28 mwanamke hana pesa ya rent,anaingia bafu anaoga,wanapanda gari na beste yake kutoka nairobi wameende Diani kwa beste yao mwingine,kwa kibeti ako na hamsini pekee yake,date 2 anarudi ameshukwa nywele mpya,na Rent alitumia agent jana. Na ujue diani hakuenda kazi,apana,alienda kujibamba. Bwana for your own sake,do not try to compare yourself with anything that has a skirt. Ni mbayaa!
STOP telling ChatGPT "Write like a Human"
STOP telling ChatGPT "Humanise this"
STOP telling ChatGPT "Humanise that"
Bad prompt = Bad result
These prompts are the best 👇
Na vijana manake mimi ni nikama ndugu yenu mkubwa,ni muhimu mniskize kwa hili jambo nataka kuwaeleza. In your lifetime you will meet women,alot of women. And more than often,these women will like you. But despite liking you,they will still find anomalies in your character that they feel they are obligated to fix. One common trait they love highlighting is you’re too hard on yourself,or you’re too withdrawn and by this virtue you should open yourself up for her to come in and help you fix it. FYI,this is your masculinity she is talking about
Mara anakwambia I want to hear you moan during sex its okay,mara anaanza kukupaka ma unga kwa uso,mara anakumata sende ovyo ovyo,mara anakwambia uvae thong because you look funny, etc. Whatever she does to you comes from a place of good will but the problem is,she will not like the results of what you evolve to. Ukigeuka bladfakin like she wanted,huwa unawachwa. She then goes to look for a wild man to tame
Therefore,you must rebel. Kataa iyo upuzi kapsaa. And the more you refuse,the more shes motivated to bend you. This is the cost
of living with a modern woman. She feels the urge to bend masculinity,conquer the masculine man,but she also yearns him. Sasa kama mimi sahii mjue niko kwa ceiling na blanketi yangu,nimekaa sija assert dominance kwa hii nyumba. Bibi namuskia huko chini amepigia mama yangu mzazi kumuuliza kama nilikua namezanga dawa ya akili nikiwa mdogo.
Weh! Apana chesa bwana!
As a humble bachelor trying to dig your way put of poverty,it is very important you cohabit with the opposite gender for atleast one week for you to understand what people they are. Na hautapenda,ndio ile siku ujinga itakuingia kwa kichwa yako ati unataka kuoa,ujue nini inakungoja. These people are wasteful. Extremely wasteful. Mtu anawasha gas kabla awekelee sufuria anapigiwa simu,anawacha gas ikiwaka anaenda kuchukua simu.
Tissue roll moja na inakupelekanga 4 months,huwa wanamalisa na siku tano. Kama ni chakula anapika ya watu hamsini,na mko wawili kwa nyumba,Na kesho hamtakula iyo chakula,atapika ingine,yenye ilibaki inatupwo. Mwingine nilileta akaniambia ati yeye analalanga stima ikiwa on,na token nimeeka ya 130 ,nikaona huyu ametumwa na ibilisi aniangamize
Hapo ndio niliambia yeye nimepata msiba nyumbani ajitayarishe tutokanishe kesho. Shida ni alisema anataka kunisindikiza,akahakikisha nimepanda gari za nakuru. Nayo matatu nilipanda,dereva ananiambia ati hatusiamamangi ovyo ovyo, waliitikia kuniishukishia Kimende,nikarudi na lorry kama taliban. Freedom is not easy wazee ,khabusie!
Men,If you can,get your children in your twenties. Preferably from 26 years. And One day you will look back and say I made the right long term decision. I will not explain further
There is a reason these men are doing the most bare minimum when it comes to cherishing their women today. Its not that they are incapable. Its very deliberate,they are withholding. They cannot bear the thought of grooming a woman with everything they have at their disposal,only for her to wake up one day and decide its not enough,without regard to what he has gone through to provide it. So until certainity,this men will continue to swim with their head out. The bare minimum is a defensive mechanism. It is upto the women to prove their worthiness and in return,these men will deliver the stars and moons to them. And I daresay,we men take pleasure in doing these things,its not a burden,its a responsibility that gives us purpose. But,it has to be worth it.