#UPDATES Mtia nia wa Ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo amewashinda wapinzani wake katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo akipata kura 1899 huku Moses Ambindwile akipata kura 1523,Peter Msigwa kura 477, Jesca Msambatavangu kura 408, Islam Huwelii kura 136, Nguvu Chengula kura 181. #EastAfricaTV