Tumepata fursa ya kutembelewa na Mkurugenzi mwendeshaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Dkt. Nicolaus H. Shombe (wa kwanza kulia) katika banda letu lililopo kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, Dar es Salaam.
Aidha, Dkt. Shombe ameipongeza TEMDO
mbalimbali zinazozalishwa na Taasisi hiyo kama vile, vifaa tiba, mitambo inayotumika kwenye sekta tofauti tofauti, pamoja na teknolojia ya viwanda vidogo kama vile kiwanda cha kuchakata muwa na kupata sukari, kiwanda cha kuchakata na kusafisha mafuta ya alizeti pamoja na
ya Wakurugenzi kilichofanyika tarehe 23/06/2025 mkoani Arusha.
Aidha Mwenyekiti pamoja na wajumbe wametembelea karakana ya TEMDO na kuangalia shughuli na miradi ambayo inaendelea kutekelezwa kama vile mradi wa kiwanda kidogo cha kuchaka miwa na kupata sukari,
mradi wa vifaa tiba, ikiwemo utengenezaji wa majokofu ya kuhifadhia maiti, vitanda vya hospitali na vifaa tiba vyengine,
Pia Col. Eng. Simbakalia amewapongeza wafanyakazi wote wa TEMDO na kuwasihi waendelee kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa bidii na kujitangaza zaidi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO), Col. Eng. Joseph Leon Simbakalia, wa pili kutoka kulia amewaongoza wajumbe wa Bodi ya TEMDO kukagua na kuangalia miradi mbalimbali inayoendelea kufanyika TEMDO wakati wa kikao cha Bodi
Tunaungana na Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuomboleza vifo vya Mhandisi Gissima Nyamo - Hanga aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO pamoja na dereva wake ndugu Muhajir Mohammed Haule.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.
Hospitali za Serikali,
Hospitali za Binafsi,
Hospitali za Mashirika,
Vituo vya Afya na Zahanati,
na wadau wengine wote wa Afya.
Tunawakaribisha TEMDO kwani tuna vifaa vya Afya bora na vyenye ufanisi mkubwa.
@wizara_afyatz
@ViwandaBiashara
@tmda_tanzania@MsigwaGerson