Hongera Mhe. Rais @SuluhuSamia kwa kuushinda mfupa uliowatesa Watangulizi wako, haimaanishi walishindwa HAPANA waliweka Misingi na wewe umejenga.
Ni Mradi wa Maji MWANGA-SAME-KOROGWE Hongera sana.
USHAURI: TUIPENI SEKTA BINAFSI IENDESHE HUO MRADI “TUTAFIKA”.
Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping. Vile vile, amekutana na kuzungumza na Mhe. Wang Huning, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China, Jijini Beijing, tarehe 4 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping aliyeambatana na Mkewe Profesa Peng Liyuan mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The Great Hall of the People kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni kwa Wakuu wa Nchi na Serikali watakaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) Jijini Beijing tarehe 04 Septemba, 2024.
Ndugu Waandishi wa Habari
Yaani Tumepigwa!!! Yaani Tumepigwa!!tukapigwa wakatupiga!! Wakatuvua Kofia na Miwani!! Yaani wakatupiga!! Waandishi wa habari Tumepigwa!! Nikaangalia huku kuna virungu Bunduki!! Tukapigwa nikaona nitakufa nikapiga kelelee Uwii jamani napigwa!! Nimepigwa!
HAIJAPATA KUTOKEA TANGU TUPATE UHURU!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi safari za treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar Es Salaam - Dodoma leo tarehe 01.08.2024 katika stesheni kuu ya SGR jijini Dar Es Salaam.
Pamoja naye pichani ni Katibu Mkuu wa CCM Dokta Emmanuel Nchimbi ambaye alishuhudia uzinduzi huo wa kihistoria wa treni ya SGR kutoka Dar Es Salaam - Dodoma
#KigogoMediaUpdates
(✍🏻 na mwandhisi wetu wa Dar Es Salaam)
RAIS SAMIA AMVALISHA CHEO NA AMUAPISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu cheo kipya cha Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Jeshi hilo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar Es Salaam
#KigogoMediaUpdates
Huyu bwana mkubwa, amechoma zana za uvuvi za watu wa Mkinga, Tanga jiji, Pangani, Bagamoyo, Mafia, Kilwa, Lindi na Mtwara.
Kwa utafiti wangu haya maeneo ni ya watu wasomaji wazuri wa dua Qurjuani. Sasa hii hali aliyonayo, yaweza ikawa 'DUA' imekubari.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM katika Ukumbi wa Kagwa, Lindi mjini.
NGUO YA KUAZIMA HAISITIRI MAMBO!!
KAULI mwanana kabisa kutoka kwa Rais Samia kwa viongozi wote wa umma.
Kuna watu walikuwa mawaziri lakini walikuwa wanatumia uwaziri wao kuji brand wao na kufanya kampeni za urais kwa kutumia nguo ya kuazima.
Kuna watu walikuwa wanatumia uwaziri waliopewa kutoa kauli za kejeli na kufungulia watu makesi nje ya Tanzania kwa kuwa wana nguo ya kuazima. Haya mwenye nguo zake kachukua. Bado mnataka tena kesi? 😄
Kwa hiyo mmefukuzwa na kuporwa nguo ya kuazima haya sasa fanyeni kampeni huku MAMBO YAKIWA WAZI
( MAMBO= MATAKO)
#KigogoMediaUpdates