Tweet 1:
Habari #Tanzania! 🇹🇿 AI siyo habari ya mbeleni tena—iko hapa na inabadilisha biashara yako kuanzia Kariakoo hadi X , Instagram ,TikTok na WhatsApp. 🚀
Kama una duka la e-commerce, soma hii. 👇
Hizi hapa ni njia 5 muhimu ambazo AI inaweza kuinua biashara yako leo
👇
Dogo anamfokea Abiria abiria kampigia Boss mwenye Gari.Dogo kapigiwa simu moja tu kuwa hapo ulipomkabidhi huyu jamaa kila kitu.Alf ukifika Moro ufanye mambo yako.🤣
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
https://t.co/bkonJGPQ2J
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Usipofanikiwa, hakutakuwa na ushahidi wowote kwamba ulipambana, ulivumilia au ulijitoa kiasi gani.Pambana mpaka mafanikio yako yawe ushahidi wa kila kitu ulichopitia. NO EXCUSES. 📌