Mchoyo hufa mara mbili,akipoteza pesa na akizikumbuka . Ama vipi😁😁.
Leo ndo ile siku..
#TheRaveKbc from 10pm - Midnight.
Mtu anaweza kataa ushauri lakini hawezi kataa Reggae tamu, sio..
#ReggaeMusicSoNice
Mbu aliyeshiba damu hujiona rubani 🧐🧐.
Hata hivyo, leo kwenye mizani >>> Ghetto Heaven Riddim Vs Caribbean Soul Riddim , baba mmoja na mama mmoja. Hapo vipi??
#ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm.
#ReggaeMusicSoNice
Usiku ukiskia mlango ukigonga wenyewe , ata paka huonekana mchawi 🤔🤔.
Hata hivyo, shughli tunayo full dose
#TheRaveKbc kuanzia 10pm.
#ReggaeMusicSoNice
Mbu akikusumbua usiku, ujue yeye ndiye landlord wa hicho chumba 🤔🤔
Hata hivyo, #ReggaeVibesKbc ndio shughli ya saa hizi. Burundani na Vibes tosha.
#ReggaeMusicSoNice