Clients wangu wengi ni madem wakona iphones but everytime wamekam shop wanafuliza tuh๐๐mimi ujijazia tuh hizo iphones ni za kudinywa af wanaachwa ndio maana wanafuliza๐๐๐๐๐
Chelsea going into the new season with Sanchez as the first choice goalkeeper ndio kitu inanikula akili sai nimetoka kuona replay Fulani hasira zikaongezeka mamaye