Makanisa yangekuwa na utaratibu kama wa misikiti ingekuwa poa sana,
Unaingia kanisa lolote lililopo karibu yako,
Unakula zako neno unasepa bila kuambiwa ujitambulishe, kuulizwa umetoka wapi au unasali wapi?
Itatusaidia kufocus na Mungu badala ya kufatiliana kibinafsi.🤗
Furniture safi 🇹🇿
0786437672 Whatsapp
Make your home a beautiful place , install good furnitures from us
Sofa hii ni ya watu watatu, nzuri mno
Ipo na springs
Ipo na fibers
Ipo na seat belts
Lakini pia kitambaa ni kizuri sana, Hugo materials
Bei ya hii sofa tsh 600k
Waliomweka wanatafuta njia ya kumtoa kimya kimya ili upepo utulie. Amekuwa akila upendo wa kinafiki, akipumua hewa ya usaliti, akijua kila anayemchekea anamchora nyuma ya pazia. Mwisho wake utaandikwa si kwa sauti, bali kwa kivuli kinachozidi kummeza siku baada ya siku..!!!
Muslim:107
Amepokea Abu Hurairah(Allah amridhie)
Mtume ﷺ amesema:
“Watu watatu ambao Allah hatawasemeza Siku ya Kiyama, wala Hatawatakasa.
Abu Mu‘awiya akaongeza: Wala Hatawatazama, na kwao kuna adhabu chungu:
1.Mzee mzinifu,
2.Mfalme muongo,
3.Maskini mwenye kiburi.”
#TajiriLaKihaya
In Sha Allah siku Tukichukua Nchi…
Inabidi tuwe serious na swala la Wazee kustaafu…
Kama tumeweka 60yrs mtu ana stafu…
Basi Astafu kweli kweli… sio tena anateuliwa kwenye nyadhifa zingine…
Itakua marufuku mzee wa zaidi ya miaka 60 kufanya kazi kwenye Ofisi ya UMMA yoyote ile, iwe ya Serikali au Binafsi- labda kama kampuni ni ya kwake!
Hatuwezi tukapambana na UNEMPLOYMENT ikiwa wazee hawataki kuachia ofisi zao…
Vijana ni wengi hawana kazi - wamekimbilia kuwa Boda boda na ndio hii bado wanadharaulika wanaonekana vibaka💔 inafikia hatua bodaboda akionekana Kwenye kituo cha mafuta,watu wanamchukulia kama Mhalifu💔
Wazee watakaoruhusiwa labda ni ma Proffessor… na wale waliobobea kwenye taaluma zao na watakua kama CONSULTANTs tu Baasi na sio vinginevyo- ili kusaidia kukuza na kuimarisha warithi wao!
Kuna wale wanataka sofa ifanane na dining table this one you derserv
Sofa set with Heavy dens material 7 carrying capacity 3,000,000
Dinint table 2,800,000
Kindly ☎️: 0710444391
Located at Chang'ombe-Temeke
Royal Romantiles (chenga chenga)
•Upana wa bati 110cm
•Ubora wa bati geji 28
Bati inazalishwa kulingana na vipimo vyako kutoka kwa fundi wako.
Bei halisi- Tsh 26,461 kwa mita moja.
Bati hii unaipata ALAF LIMITED
Furahi punguzo bale unapohitaji kulipia karibu. 0678013639
Kuna Kitu ambacho Watu wengi tunashindwa kuelewa kwamba Ukishaleta mambo Yako Public kama huku ndani , dont expect kila Comment iwe upande wako , kuna ambao watakuja na Hard Feelings kuhusu hicho kitu au wewe tu bhas . Kama hutaki Criticism bhas kaa na kitu chako Off-internet ✍️