Kamishna wa Uhifadhi TFS Prof. Dos Santos Silayo @dos_silayo leo Machi 10, 2023 amefanya ziara ya kikazi Wilayani Kibaha na kukutana na Mkuu wa Kamati ya Usalama na Ulinzi na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson Saimon @nikkwapili ofisini kwake ambapo pamoja na mambo mengine
Kamishna wa Uhifadhi TFS Prof. Dos Santos Silayo @dos_silayo leo Machi 10, 2023 amefanya ziara ya kikazi Mkoani Pwani na kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ofisini kwake ambapo pamoja na mambo mengine walipata wasaa wakuweka mikakati ya kuhifadhi mazingira
*FINLAND NA TANZANIA KUKUZA USHIRIKIANO KUHIFADHI MISITU*
Hayo yamesemwa na Waziri wa fedha kutoka nchi ya Finland Mika Lintila kwenye ziara ya utalii tarehe 29/01/2023 alipotembelea Hifadhi ya Msitu wa Mazingira asilia Pugukazimzumbwi
MITI ZAIDI YA MILIONI 8.2 YAPANDWA MWEZI WA MAMA @samia_suluhu_hassan
Katika kuadhimisha miaka 63 ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Januari 27, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa TFS Kanda ya Mashariki Caroline Malundo