Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakimuweka Said Lugumi kwenye list ya matajiri Tanzania, sawa Lugumi ni tajiri lakini wanapo kuwa wana zungumziwa matajiri kama akina MO, Bakhresa na GSM hatakiwi kuwekwa Kwa sababu utajiri wake ni wa kawaida sana.
Utafiti una onyesha Lugumi hata kwenye listi ya matajiri 20 wa Tanzania hayumo (uliza hata ChartGPT),
Unaambiwa Tanzania Ina matajiri wengi vibaya mno Kwa mjibu wa B.O.T, na wengi wa matajiri hao wana ishi zao mikoani na hawana majina ila utajiri walio nao una tisha.
Moja ya kitu kilicho mpa pesa Said Lugumi ni zile tenda alizo ingia na serikali.
✍️Usambazaji wa vifaa vya usalama (security goods).
✍️Vifaa vya ofisi na stationery.
Vifaa vya kuzimia moto.
✍️Matengenezo ya vifaa vya ofisi.
Huduma za fumigation (kuua wadudu).
✍️Miradi ya teknolojia ya utambuzi wa alama za vidole (fingerprint systems) kwa Jeshi la Polisi.
NB: jamaa kweli ni tajiri ila Wanapo zungumziwa akina MO, Bakhresa, Rostam na GSM hastahili kuwekwa kabisa.
✍️ Ameandika Mdau
Niggas like me, who aren’t handsome, rich or fly, can’t be loved by every woman. We’re only loved by a certain niche of women. I honestly don’t know what those women see in us but somehow they do and i appreciate it!
Kuna mwamba Instagram anatumia reverse psychology kufarm attention. Yeye kila Gari ni mbovu and thats how he gains attention😂.
Maana hamna anaependa kuwa questioned na maamuzi au mahaba ya gari fulani.
We are still buffled on how it clocked 8 years living with a man and you still havent learnt how men are programmed.
That small details might tell alot about you too.
8 years of marriage and this man still doesn’t know how I take my coffee because he never cared enough to learn. Yesterday I asked him to make me one and he said, “WHAT KIND OF COFFEE DO YOU EVEN WANT?” It made me really sad. It may seem shallow to others, but it genuinely hurt me.
People will say it’s “just coffee” but women notice the small things. A man who pays attention learns you without being told 100 times. Imagine being married for 8 years and your husband has never once made you a cup of coffee the way you like it.
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵
Aandae thread tu ila asifute ili ambao watakua offline wataikuta nadi.
Wanafanya mambo yawe maguuuuumu.
Ndio wale wanatangaza wanauza kitu insta alafu ukiwafuata wanakuambia Nivhek whatsapp.
Kadinali ashushe thread.
Mnalazimisha mambo yawe magumu wakati ni marahisi sana.
Andaa thread moja fupi yenye details za kutosha marisiti na maushahidi kama yote, then fungua space watu watakuja, uwe tayari kujibu lolote. Atakaeshindwa kujibu kwa maandishi au kwa kusikika kwa maneno nae ni mhusika 😂
Wekeza katika solar sio unaifanya solar escape gate. Weka Solar panels za maana na uweke inverter ya maana pia.
Agiza roof panels za tesla tipme utalalamika umeme.
Yaani bati lote limejaa panel za solar.
😅
Nachojiuliza ni yeye kutaka space ili amwage kila kitu. Why space ? Kwaninu asishishe thread na ana plus badge kabisa?
Thread ataweka kila kitu mpaka receipts ila anakimbilia maneno ambayo no one can trace.
Mie mtu asietaka ushahidi wa maandishi simuamini.
mf really started the tweet with freedom isn't free wallahi I'll never forgive you hata mungu ashuke aniamuru nikusamehe mara saba sabini ndio nipate nafasi ya kuingia mbinguni nitakataa heri nikaungue jehanamu milele kuliko kukusamehe bitch ass nigga. spitting mucus onto you puu