By Time,
Indeed, mankind is in loss,
Except those who believe and do righteous deeds, and encourage one another to truth, and encourage one another to patience.
— [Surah Al-‘Asr 103:1-3]
//
Naapa kwa zama (au muda),
Hakika mwanadamu yumo katika hasara,
Isipokuwa wale waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakatenda mema, wakashauriana katika haki, na wakashauriana katika subira.
— [Surah Al-‘Asr 103:1-3]
@HildaNewton21@mdudenyagali Kwani ata hiyo ina hitaji akili kubwa kujua? Kundi lake la G55 si ndo lilianzisha neno UHAINI? Na alie shtaki chama si ni wale wale team losser.
@frediejustine Huyu Iran ana dhamin makundi ya kigaidi ni hatari sana kumruhusu amiliki nuclear kwa ustawi wa Mashariki ya kati, ndo maana ata waarabu wenzake hawamsapoti. Imagine nuclear ituwe mikononi mwa Hezbollah.
@kikomasta Hii mifumo hua haizuii makombora kwa asilimia 100, hasa yaki rushwa mengi kwa wakati mmoja so kama yakirushwa 30 kuna uwezekano 3 yakafikia lengo.