Serikali imekamata dhahabu kilogramu 4.4 yenye thamani ya TZS bilioni 1.2 katika eneo la Kiluvya, Dar es Salaam, wakati ikitoroshwa kutoka wilayani Kahama, Shinyanga.
Sema uongozi ni Wito, Mheshimiwa Gwajima anaingia hadi Live huko TikTok kusikiliza changamoto za watu na kuzitatua na kutoa Elimu. Big Up sana Kwake.ππΎ
TZ-India Twitter - I need your help, I'm looking to meet and learn from people who send money from Tanzania to India next week in Dar es Salaam.
Please share this with them below.
https://t.co/Qdy4YTsXfP