@TitoMagoti Ukiwa hapa mtandaoni ndo utaona anavuja jasho ila broo njoo ground sasa ujionee watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.Hii ajenda ya maandamano ya kutaka kupindua nchi si njia sahihi ya kuleta badiliko na kutetea haki.Tafuteni njia https://t.co/GC2cJUa9ls maon yangu tu.
@MariaSTsehai Maria ww unapenda kulisha watu mitango pori tena ile iliyokomaa haswa.Ingekua nchi inaendeshwa kwa mihemko kias Icho mbona serikali ingeshindwa kulipa hata mishahara ya wafanyakazi!Ww kila siku nakwambia fanya analysis ya taarifa zako kabla ujaja public unapoteza credibility.
@kwamekivaisi@yusu22141 Hakuna Muislamu hata mmoja mwenye akili zake timamu atakaekuelewa kaka.BAKWATA imetuchelewesha sana kama ni kweli kuna wakatoliki wamesaidia ushindi wa hio kesi sisi waislamu tusiofungamana na BAKWATA tunawashukuru sana kwa mchango wao.Ila hatuwez kuwa watumwa ndani ya Dini yetu
@Sativa255 Maandamano yenu ni ya kinafki sana nje mnatangaza ni kupigania haki lakini ndani ya mioyo yenu mna chuki za kidini kwa Mh.Rais kwasababu tu Ni Muislam na ni Mzanzibari.Kuna post yako hapa ulisema wazi wazi kuwa mnaandamana kwasababu Rais Samia unadai anakandamiza Kanisa.
@PolepoleHumph Huu mradi kama ni kweli basi Namuombea maisha maref Rais SSH aufanikishe kwa asilimia 100 mana itarahisisha usafirishaji kwa mda mfupi zaidi
@chiefodemba ila kaka unakosea kusema hiyo posho wanayopewa ni rushwa coz CCM wanapata ruzuku kupitia wabunge wao si kusema eti wameiba seem au wanatumia vibaya pesa za serkali hapana
@MariaSTsehai Maria dada angu samahani lkini,watu wanahama CHADEMA kweli wala sio uongo au propaganda na hakuna anaepewa hata Senti moja,Chama mmeshakiuwa hakina tena muelekeo.Waliambiwa hapa Chadema wasigomee uchaguzi wakakaidi msitegemee mtaweza kuzuia uchaguzi kwa nguvu haitawezekana.
@SuluhuSamia Katika vitu nilikua natamani siku moja vitokee basi ni kumuona huyu mzee anakua Muislamu yani ningepata nafasi ya kuonana nae ningemshauri awe muislam mana alikua anafatilia na anajua baadhi ya vitu vya dini ya kiislam.All in all Mungu amjaalie safari njema huko aendako
@TitoMagoti Sasa hapo Rais anaingiaje mkuu?Hio mi mihimili inayojitegemea na akisema awapige stop hao polisi na mahakama itakua pia anavunja katiba mtakuja tena mumseme