@georgediano Wtf is Raila won without okuyu votes..mnaona kabisa Ruto alichukua wasepere wote 2022? If he did then he is sure to be a Wantam president juu this time hana io okuyu vote. Hizi scripts mkizipick mpick zenye hatutatrace back tuanze kulima huyo kamagut wenu๐
@HonWamboka Kama kuna watu huko western wamecapitalize na hii wave ya sifuna ni hawa. Wetangula anatamani angekua amewashika akili vile amezoea juu hawa ndio wenye grao. Baddest bois crew hii๐