@Sirjeff_D Pigia mstari iyo.
Ila ukishaichapa halafu ukakaa kimya na usiiombe tena, wadada Wana haha sana. Kama mdada hana confidence ya kukuomba atabaki na maswali mengi mnoo
Experience 👆
Utalii unachangia karibu 30% ya fedha za kigeni nchini, na kama mtu ninayetoka Arusha na kufahamu kwa undani tourism corridors, hali ilivyo sasa ni ya kutisha. Tour operators wamebaki na kazi moja, kupokea cancellations kila saa. Hawa tunaowaita ‘wafadhili’ si watu wa kutumiwa kama mifano ya majigambo ya kisiasa. Hao ndio wateja wetu wakuu, watoa huduma wa kimkakati, na sehemu ya mifumo inayolisha uchumi mzima na sekta ya utalii. Ni kosa la kimkakati, na kiukweli ni aibu ya kiwango cha taifa, kwa Waziri wa Mambo ya Nje kutoa kauli ya kubeza kama hii. Katika mazingira haya, hatuhitaji kauli za kutengeneza headlines za kisiasa, tunahitaji uongozi unaofahamu geopolitics ya biashara, umuhimu wa foreign confidence, na athari za maneno ya juu juu kwenye sekta inayotegemewa na maelfu ya Watanzania. Huu si wakati wa kukwepa ukweli; ni wakati wa kufanyia kazi ukweli.
#TajiriLaKihaya
IT Experts🇹🇿…
Hebu Tuongee kidogo…
Ikitokea MTANDAO UZIMWE kama Sikuzile…
Tufanyeje ili kuendelea kuwa ONLINE???
Hebu tupeane mbinu mbadala…
Watu waliofanya Arts Wanasoma Comments👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Kitu kinachoitwa haki hata kama ni kidogo kina thamani kubwa sana kwa yule mtu ndio maana anakidai — we mpatie tuu huyo mtu haki yake na atafurahi sana.
Naichukia sn hii SERIKALI dhalimu iliyopo madarakani, lkn kamwe haiwezi kunifanya niichukie NCHI yangu🇹🇿
Wote wanaoeneza propaganda ya ku-boycott utalii, kueneza agenda na hashtag za tourists wasije TZ nawaona ni WAPUMBAVU wenye IQ ya nyumbu kufata mkumbo bila rational thinking
#TajiriLaKihaya
WAISLAMU Kwa WAKRISTO Sisi ni Ndugu….
Tumeoana, tunaishi pamoja,Sisi ni marafiki… tunafanya biashara pamoja,Tunazika pamoja,tunahudhuria sherehe pamoja… katika familia zetu ni mix ya Wakristo na waislamu…
Kama mjomba wako sio dini tofauti basi atakuwa shangazi yako… Kama sio Binamu yako basi atakuwa shemeji yako…
kuna Waislamu wamesoma shule za wakatoliki na kuna Wakristo wamesoma Islamic schools…
Hata siku moja tusikubali kutengana,tusikubali kuchukiana…
Adui wetu sio Dini zetu… infact Sisi ni Ndugu…
Kila mtu hapa Akiulizwa vizazi 20 nyuma- mababu wa mababu zetu hawakua na hizi DINI… Sisi ni waafrika Sisi ni Watanzania…
hata siku moja kodi haichagui dini, sera mbaya zikitungwa bungeni hazichagui dini… mvua ikinyesha haiwanyeshei waislamu tu au wakristo tu… kifo kikija hakichagui Dini, wote tunakufa, Umasikini au Utajiri hauchagui DINI…
Kama Mungu Hatubagui,iweje Sisi tuanze kujibagua???
Tusikubali huu mchezo Divide and rule,,, tusikubali hii Tenga utawale inayoletwa kimya kimya….
Tusijadili DINI zetu maana mwisho wa siku itamfaidisha anaeleta hizi agenda…
Juzi tu tuliona- Zile Risasi hazikua zinachagua Dini… Lockdown haikua Kwa wakristo tu hata waislamu tulikua ndani… mtandao ulipokatwa hawakukatiwa Wakristo tu hata waislamu tulikatiwa…
Tusikubali kutumiwa…
Hata iweje hata siku moja KIJANA usifikirie Kuchoma MSIKITI Au KANISA…
Hata siku moja KIJANA usikubali kuchoma Qur’an au Biblia…
Vita za Dini ni mbaya saana … tusiende huko!
SISI TUNATAKA KATIBA MPYA, Tunataka tume Huru ya Uchaguzi, Tunataka KURA yetu iheshimiwa- Our votes must Count , tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe… tunataka wafungwa wote wa kisiasa waachiwe… haijalishi ni Dini gani!
Tunataka Uhuru wa Vyombo vya habari, tunataka uhuru wa kutoa maoni, Utekaji ukomeshwe,watu wasiojulikana wafahimike…
ADUI WETU SISI SIO WAKATOLIKI AU WAISLAMU…
Adui wetu Sisi sio DINI zetu…
FOCUS 💯
@Sirjeff_D Mfumo wetu wa elimu uliandaa akili ya kutafuta ajira, sio kujifunza maisha.
Tukikosa ajira, motivation nayo inakufa — ndipo maisha yanapotupa mitihani yake, tunakimbilia memes kupumua.
@EsirEid Nilichoelewa,
1. Ushauri wao wao hatujaweza kuuzingatia, 25 yrs down. Curve ya mazingatio ya ushauri Ina decline as times go
2. Jibu hili litatumika tena na tena as times go.
3. Kama tukicheka Cheka Kwa ushujaa wa jibu hili, story zitakuwa hizi hizi tena na tena