“Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui.”
— AI-Baqarah: 216
"Kwenye maisha mnaweza kuwa rika moja, mkafanya kazi pamoja, mkapambana pamoja ila kudra za Mungu ndio zitaamua yupi ayatangulie mafanikio na yupi awe wa mwisho kuyafikia." ~Togolani Mavura.
Kuna siku hao wanaombeza leo watasema kwanini tulichelewa kujua nia yake njema kwa Tanzania, ni suala la muda tu maana watz tunajijua kibaya ukiwa nacho!!!!
Sio mara ya kwanza na wala sio ya mwisho hayo kujitokeza ila alipoifikisha nchi kwasasa anahitaji pongezi kubwa