Kijana mwenzangu mwanamke unayemchagua kuwa mwenza wako ni kipimo na taswira halisi ya viwango vyako. Unayemchagua ni tafsiri nzuri ya akili, fikra, ukubwa wa ndoto zako, heshima na adabu unayoitaka na unayostahili. Daima fanya chaguo linalokutambulisha kuwa wewe ni mtu makini.
@angelbellerin02 Unajua kuna muda tuelewe teknolojia ina faida zake na hasara zake kutokana na matumizi yetu. Tukikaa upande wa kusema ni mbaya ni kwa sababu tumeamua kuitumia vibaya in which hayakuwa malengo yao. Tubadilisheni mindset tu na tuiishi misingi ya utu.
Kuwa mwanaume kazi sana , jua ni kali ila mwanaume anabeba zege Juani , anajenga , anabeba tofali , anakesha. Hela yao ngumu sana ,ππ akuhonge alafu afike mlimani mara moja .. hpn wazitoe tu moshi πππ